DOGO JANJA ASHINDA UDIWANI NGARENARO AMGARAGAZA VIBAYA DIWANI MKONGWE ALIYEKUWA AKITETEA NAFASI YAKE
By Arushadigital
MSANII wa Mziki wa Kizazi Kipya, ABDUL AZIZ CHANDE (Dogo Janja)ameibuka mshindi wa Udiwani kata ya Ngarenaro kupitia CCM kwa kupata kura 76 na Kuangusha mbuyu Diwani Mkongwe na Mtetezi wa Kata hiyo, ISAYA DOITA aliyeambulia kura 60.
Dogo Janja ameaminiwa na wajumbe wa kata hiyo ya Ngarenaro wakiwa na matumaini naye hasa baada ya kuipaisha kwa kuipa umaarufu kata hiyo kupitia nyimbo zake.
MSANII wa Mziki wa Kizazi Kipya, ABDUL AZIZ CHANDE (Dogo Janja)ameibuka mshindi wa Udiwani kata ya Ngarenaro kupitia CCM kwa kupata kura 76 na Kuangusha mbuyu Diwani Mkongwe na Mtetezi wa Kata hiyo, ISAYA DOITA aliyeambulia kura 60 ,Dogo Janja ameaminiwa na wajumbe wa kata ya Ngarenaro wakiwa nanimamni naye hasa baada ya kuipa umaarufu kata hiyo kuporia nyimbo zake.
0 Comments