MADIWANI ZAIDI YA 10 JIJI LA ARUSHA WAPUKUTISHWA KWENYE KURA ZA MAONI,SURA MPYA ZA CHOMOZA TOJO AENDELEA KUPETA

Na Joseph Ngilisho- ARUSHA 


MADIWANI waliomaliza Muda wao wamepukutishwa katika kata mbalimbali jiji la Arusha huku sura Mpya zikichomoza akiweno Msanii Abdulaaziz Chande (Dogo Janja).

Baadhi ya Madiwani waliopoteza Nafasi ni pamoja na Alex Martin wa kata ya Olasiti,Isaya Doita kata ya Ngarenaro,Miriam Kisawike kata ya Moshono,Fadhil Lembris Kata ya Sakina,Saluni Olodi Kata ya Sokoni 1,.

Wengine ni  Lobora Ndaravoi wa kata ya Themi, Christopher Rutangwelela,kata ya Osunyai na Raphael Lomwiko kata ya Olmoti .

Wengine waliokatwa hatua ya uteuzi ni madiwani wanne ambao ni Sebastian wa kata ya Sekei ,Agustino Matemu kata ya Levolosi ,Bakari Msangi kata ya Sombetini na Francis Mbise kata ya Muriet na hivyo kufikia madiwani 10 waliomaliza muda wao.

Ends..


Post a Comment

0 Comments