By Arushadigital
Msanii nguli wa muziki R. Kelly amefichua kuwa kwa takribani mwaka mzima sasa hajatembelewa na mtu yeyote kutoka katika familia yake, hata mabinti zake hawajamtembelea gerezani.
Amesema pia kuwa hakuna hata rafiki mmoja aliyemtembelea, licha ya kuwa wengi wao aliwahi kuwasaidia sana wakati akiwa huru. Kwa mujibu wa Kelly, kuna rafiki mmoja aliyewahi kumpa dola milioni moja kwa ajili ya kusaidia biashara yake, lakini hadi leo hajawahi kufika kumwona.
R. Kelly alishindwa kujizuia machozi, akalia kwa uchungu na kumuomba Mungu ampe nguvu aendelee kuwa imara hadi siku atakapotoka gerezani.
Funzo: Maisha si ya haki, na wakati mwingine wale tunaowasaidia ndiyo hutugeuka zaidi tunapokuwa chini.
Ends..

0 Comments