By Arushadigital
Mgombea ubunge jimbo la Arusha mjini ,(Jina linahifadhiwa) ameweka kando harakati za kusaka ubunge katika jimbo hilo badala yake amegeuka Chawa wa kunadi wagombea wenzake waliokuwa wakijinadi katika mbalimbali za jimbo hilo, jambo lilaloelezwa ni kufilisika kisiasa .
Mgombea huyo ambaye aliwahi kuwa kiongozi wa ccm wilaya ,ni miongoni mwa wagombea saba walioteuliwa kuwania nafasi hiyo kupitia chama Cha Mapinduzi lakini ghafla mgombea huyo amegeuka Mpambe wa kuwasifia wenzake huku akijiita yeye ni kaka yao.
Mmoja ya wagombea wenzake(Jina linafichwa) ameonesha wazi kukerwa na kitendo hicho huku akisema kwamba huenda hata fomu aliyochukua ilikuwa ni mkakati na hakutia fedha zake mwenyewe kupitia Fomu kutokana na udhaifu aliouonesha .
"Ifike wakati chama kiache kuleta watu kwa ajili ya kusindikiza wengine bali wachague watu wenye nia sahihi ya kuwatumikia wananchi na sio wanaoenda kuziba nafasi za wengine bora angeamus kujitoa ijulikane moja kuliko anavyofanya inaonekana hatupo serious"Alisema
Wagombea wanaowania jimbo hilo ni pamoja na;
0 Comments