CHIKU ISSA ANG'ARA UBUNGE VITI MAALUMU ARUSHA

Na Joseph Ngilisho-ARUSHA

CHAMA Cha Mapinduzi CCM Kimemteua CHIKU ISSA Kuwa Mgombea wa nafasi ya Ubunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Arusha,akiwa Miongoni mwa majina nane yaliyopata uteuzi.Kabla ya uteuzi huo CHIKU aliwahi kuwa Meneja Mwaminifu wa Benkinya CRDB Kanda ya Kaskazini.


Chiku Athumani Issa pia ni;
1. Mjumbe wa kamati ya Uchumi, Mpango, Fedha UWT Taifa
2. Mjumbe wa Mkutano UWT Taifa
3. Mjumbe wa kamati ya Utekelezaji wilaya Arusha jiji.

Post a Comment

0 Comments