ASKARI MAGEREZA AUAWA KINYAMA NA MWILI WAKE KUTELEKEZWA KANDONYA NYUMBA YA JIRANI YAKE

By arushadigtal-SHINYANGA


ASKARI wa Magereza wa Mkoa wa Shinyanga Mkaguzi Msaidizi wa Magereza anayejulikana kwa jina Malini Kilucha (37) ameuawa na watu wasiojulikana kwa kufungwa mdomo na pua kwa kutumia nguo aliyokuwa ameivaa na mwili wake kutelekezwa maeneo ya jirani na nyumba aliyokuwa akiishi.

Post a Comment

0 Comments