By Arushadigtal
Mke wa Rais wa kwanza wa Gabon, Sylvia Bongo, na kijana wake wa kiume, Noureddin Bongo Valentin, wamehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela kufuatia kesi ya ufisadi huko Libreville.
Wawili hao walihukumiwa licha ya kutokuwepo Mahakamani siku ya Jumanne usiku, kifungo cha miaka 20 na faini ya milioni 100 za CFA Francs, ambayo ni takriban pauni 135,000 kama fidia ya uharibifu wa fedha katika taifa la Gabon.
Mahakama pia iliamuru Noureddin Bongo kulipa zaidi ya CFA Francs trilioni 1.201, sawa na karibu dola bilioni 1.6.
Ends..

0 Comments