By Arushadigital
Chama cha Mapinduzi(CCM) kimewateua Wagombea saba kugombea Ubunge Arusha Mjini akiwemo Paul Makonda, Ally Said , Hussein Gonga, Aminata Teule, Mustapha Nassoro, Ruhembo , Kishugua huku aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo Mrisho Gambo akiachwa.
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla ametangaza majina hayo leo July 29,2025.
0 Comments