MSIBA MZITO! MFANYABIASHARA MAARUFU WA UTALII ARUSHA AFARIKI DUNIA GHAFLA

 Na Joseph Ngilisho-Arusha

Taarifa za uhakika zilizotufikia hivi punde ni kwamba Mfanyabiashara Maarufu wa sekta ya Utalii Mkoani Arusha,John Balleto amefariki dunia jioni ya leo baada ya kudaiwa kuanguka bafuni  kwake akioga nyumbani kwake Kisongo karibu na kiwanda  cha nguo cha  (a to z) nje kidogo ya jiji la Arusha.


Hata hivyo taarifa zaidi juu ya tukio hilo endelea kutufuatilia .Mwili wa marehemu umehifadhiwa katika chumba cha Maiti katika hospitali ya Rufaa Mount Meru.




Post a Comment

0 Comments