Breaking🔥

BREAKING NEWS: JAJI MSTAAFU WARIOBA AANGUKA GHAFLA SERENA HOTEL

BREAKING NEWS: JAJI MSTAAFU WARIOBA AANGUKA SERENA HOTEL

By ArushadigutalDAR ES SALAAM:

 


Jaji Mstaafu na Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania, Joseph Sinde Warioba, anaripotiwa kuanguka ghafla na kupoteza fahamu wakati akihutubia mkutano maalumu unaofanyika katika Hoteli ya Serena, jijini Dar es Salaam.

Taarifa za awali zinaeleza kuwa Warioba alipata hali hiyo akiwa katika mkutano huo na kukimbizwa kwa ajili ya kupata msaada wa matibabu.

Hadi sasa, hakuna taarifa rasmi iliyotolewa kuhusu hali yake kiafya, hivyo taarifa zaidi zinaendelea kufuatiliwa.

Warioba ni Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais mstaafu, aliyeshika nafasi hizo kuanzia mwaka 1985 hadi 1990.


Post a Comment

أحدث أقدم