KISHINDO CHA LUKUMAY AKICHUKUA FOMU ARUMERU MAGHARIBI CHATETEMESHA WAJUE MAKADA WENGI WALIOCHUKUA

Na Joseph Ngilisho- ARUMERU 

JOTO la uchaguzi katika Jimbo la Arumeru Magharibi Mkoani Arusha linazidi kupanda kiasi cha kuibua mtikisiko baada ya Kada Mwingine Mzito , ELIAS LUKUMAY Kuchukua Fomu akilitaka jimbo hilo  linaloshikiliwa na mbunge wa Sasa NOAR LEMBRIS ambaye naye anatetea nafasi yake!

Lukumay ambaye ni mwenyekiti wa chama cha wamiliki wa Malori TANZANIA (TATOA)hatimaye amejitosa rasmi katika duru hizo baada ya kuwepo uvumi wa muda mrefu kuhusu kugombea katika jimbo hilo.


Kuchukua FOMU kwa Lukumay kunaongeza joto la uchaguzi kwa miamba michache inayotajwa akiwemo LENGAI OLE SABAYA na kunafikia Makada 10 ambao ni 1.Noah Lembris Saputu 

2. John Langidare Tanaki

3.Henry Obed Mejool

4. Johanes Lukumay 

5. Amos Amon KINYUNYU

6.Elias Remmy Siana

7.Noel Emanuel Severe

8.Julius Paul Ngungat

9.Luteni Kamali Joel Paulo Meidimi(RTD)

10..Mwl.Ezekiel Mollel







Post a Comment

0 Comments