ALIYEKUWA Mbunge wa Jimbo la Vunjo Dkt Charles Stephen Kimei amechukua fomu ya kuwania ubunge awamu ya pili katika jimbo hilo zilizotolewa ofisi za Chama Cha Mapinduzi Moshi Vijijni.
Miongoni mwa vijana wanaomkalia kooni Kimei ni Mfanyabiashara, Prosper Tesha ambaye ameonesha nia ya kuwania ubunge katika jimbo hilo .
0 Comments