By Arushadigital
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Palamagamba John Aidan Kabudi kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu.
Kabudi anachukua nafasi iliyokuwa ikishikiliwa na William Lukuvi, aliyefariki dunia Machi 25, 2026. Kabla ya uteuzi huo, Kabudi alikuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Ikulu anayeshughulikia Kazi Maalum.



0 Comments