Kihamia katika ubora wake
Rais Samia Suluhu amemteua Pius Andrew Ng'ingo kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (UDART) akichukua nafasi ya Waziri Kindamba ambaye uteuzi wake umetenguliwa.
Our website uses cookies to improve your experience. Learn more
Ok