SAMIA AMTUMBUA KIHAMIA DART NI SIKU MOJA BAADA YA WANANCHI KUSHAMBULIA MABASI KWA MAWE,AFANYA UTEUZI.
Ngilisho TV0
Kihamia katika ubora wake
Pius Ng'ingo
Rais Samia Suluhu amemteua Pius Andrew Ng'ingo kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (UDART) akichukua nafasi ya Waziri Kindamba ambaye uteuzi wake umetenguliwa.
إرسال تعليق