MIAMBA WA ARUMERU MAGHARIBI TUNAKWENDA NA HAWA HAPA ,KIBAO WAKATWA CCM HAICHEKI NA WOWOTE!

Na Arushadigtal


Imefahamika kwamba Tayari Moshi Mweupe katika jimbo la Arumeru Magharibi umeonekana mara baada ya kamati ya siasa ya wilaya hiyo kufanya jambo lake kwa kufyeka watia nia kibao na kubakisha watatu tu.


Chaguo la ccm katika jimbo hilo ni Noel Severe,Eluas Lukumay na Mbunge mtetezi Noar Lembeis.

NOEL SEVERE 

ELIUS LUKUMAY 
NOAR LEMBRIS 



Post a Comment

0 Comments