DKT KAZOBA AZINDUA ENERGY DRINK MPYA MAONESHO YA BIASHARA SABASABA!, INANGUVU BALAA YA KUBORESHA AFYA ,KIBOKO YA MARADHI, TAZAMA PICHA DKT KAMA RAIS TOURE!

By arushadigtal 

 

MTAALAMU wa Tiba asili Daktari Kazoba Mwesiga John kupitia kampuni yake ya Tiba asili ya KAZOBA International Herbal Products amezindua kinywaji kipya chenye msisimko (ENERGY DRINK) kinachosaidia kuimarisha afya ya mwili.

 

Kazoba International Herbal imezindua kinywaji hicho cha ENERGY katika maonesho ya Biashara sabasaba Dar es Salaam,chenye uwezo mkubwa wa kuboresha afya ya mlaji .

"Tumezindua ENERGY DRINK Mpya yenye Afya na  Faida Mwilini kama dawa ama Kinga ya Magonjwa Kuondoa Sumu Mwilini

-Kuboresha Mzunguko Wa Damu
-Kuondoa Uchovu Mwilini
-Kuboresha Kuyeshusha Chakula Tumboni
-Kupandisha Kinga Za Mwili "

Ingredients: Ubuyu, Mlonge, Tangawizi


USHAURI : NDUGU MTANZANIA ACHA KUNYWA ENERGY DRINK ZENYE ATHARI KWA AFYA YAKO AMBAZO HATA MADAKTARI HUKUSHAURI USINYWE ZAIDI YA 2 NDANI YA WIKI...

SASA DR KAZOBA ANAZINDUA ENERGY DRINK YENYE AFYA KWAKO NA YENYE FAIDA MWILINI KWAKO KAMA DAWA AMA KINGA .

KONGOLE KUBWA SANA KWA DR KAZOBA...HUU NI UKOMBOZI KWA WALE WOTE WENYE MAPENZI NA ENERGY DRINK MAANA SASA WANAKUNYWA DAWA AMA KINGA HUKU WAKIPATA FAIDA ZA ZAIDI YA ENERGY DRINK ZA KAWAIDA..

KIFANYE KINYWAJI HIKI KUWA RAFIKI YAKO NA UTAUONDOLEA MWILI WAKO SUMU ZOTE WAKATI WOTE....UKIWA BAR AMA RESTAURANT ANZA KUWASUMBUA KWA KUAGIZA KAZOBA ENERGY DRINK...


+255754251118 Dr.Kazoba









Post a Comment

0 Comments