MSAIDIZI WA LISU ATEKWA ATESWA , APIGWA PINGU,WATEKAJI WAFYATUA RISASI KUWATISHA BODABODA WALIOWAFUKUZIA,ATOROKA NA PINGU POLISI WAMFUNGUA

 By Arushadigital


Msaidi wa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa (tundu lissu) David Jumbe, anaripotiwa kunusurika kwenye jaribio la kutekwa nyara usiku wa kuamkia leo, Mei 20, 2026.


​Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kupitia ukurasa rasmi wa CHADEMA, tukio hilo lilitokea usiku wa jana Jumatano, Mei 20, 2026. Taarifa hiyo inaeleza kuwa Bwana Jumbe alichukuliwa nguvu na watu wasiojulikana, lakini baadae alifanikiwa kuwatoroka watekaji hao akiwa bado amevishwa pingu mikononi.


​Ufanisi wa kutoroka kwake unadaiwa kuchangiwa kwa kiasi kikubwa na ujasiri wa waendesha pikipiki maarufu kama Bodaboda, ambao walianza kulifukuza gari la watekaji hao baada ya kubaini mazingira ya kutatanisha.





Ends


Post a Comment

0 Comments