BARAZA LA MAWAZIRI HILI HAPA VIGOGO KIBAO WAACHWA ,MAKONDA ,MILLY KASKAZINI WAULA

By Arushadigital









Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametangaza baraza jipya la mawaziri ambapo zipo sura mpya na wapo wa zamani ambao wamewekwa pembeni.


Waliowekwa pembeni na wizara zao walizoziongoza kwenye baraza lililopita ni aliyekuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko, Hussein Bashe (Kilimo), Innocent Bashungwa (Mambo ya Ndani), Jenista Mhagama (Afya), Dk Seleman Jafo (Viwanda na Biashara), Dkt. Pindi Chana (Maliasili na Utalii) na Dkt. Damas Ndumbaro wa Katiba na Sheria.




Post a Comment

0 Comments