By Joseph Ngilisho-Arushadigital
Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Arusha,Saipulan Ramsey Kesho Saa Nne Asubuhi Agosti 15,2025 Makao Makuu ya CCM, ataongea na Vyombo Vyote vya Habari Mkoa wa Arusha.
Agenda kuu ni Pamoja na kutoa Mkeka wa Madiwani walioteuliwa na Chama Cha Mapinduzi kugombea nafasi hiyo.
Ends..
0 Comments