MWAMBA WA MIELEKA HULK HOGAN AFARIKI DUNIA

By arushadigtal


 Mwanamieleka maarufu nchini Marekani Hulk Hogan &8amefariki hii leo akiwa na umri wa miaka 71, 

Madaktari wamethibitisha kifo chake mapema Alhamisi asubuhi ya leo huku chanzo cha kifo chake kikitajwa kuwa ni tatizo la moyo.



Hogan aliumwa moyo akiwa nyumbani kwake Florida kisha kupelekwa Hospitali ambapo alipatwa na umauti. 


Hata hivyo, Wiki chache tu zilizopita, mke wa Hogan, Sky, alikanusha uvumi wa kwamba Hogan alikuwa katika coma, akisema moyo wake ulipata nguvu na alikuwa na nafuu baada ya kutoka kwenye upasuaji. 


#arushadigtal-Updates


Post a Comment

0 Comments