Na Joseph Ngilisho- MOSHI
MCHIMBAJI wa Madini PROSPER DAUDI TESHA amejitosa kuchukua Fomu kuwania ubunge katika Jimbo la VUNJO Mkoani Kilimanjaro akiwa na lengo la Kumng'oa mbunge wa sasa Charles KIMEI.
TESHA ambaye Pia ni Mwenyekiti wa FEMATA Taifa na Mkurugenzi wa Makampuni ya R-Gi.C.O LTD/ TANSO INVESTMENT LTD/ PDT INVESTMENT LTD ,amedai anatosha kuwaondolea umasikini Vunjo.
Kuchukua Fomu kwa Mchimbaji Huyo kumenogwsha joto la uchaguzi katika jimbo hilo na kufikisha watia nia 17 katika mchakato wa uteuzi na iwapo atapata uteuzi na kugombea jimbo hilo wananchi wajiandae kuaga umasikini kwa kunufaika na rasilimali zilizopo katika jimbo hilo ambalo limekosa mtu sahihi wa kuwaletea maendeleo.
Ends ...
0 Comments