RUTO ATANGAZWA RAIS WA TANO KENYA ,AMGARAGAZA ODINGA
Ngilisho TV0
BY NGILISHO TV
Tume ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imemtangaza mgombea wa Kenya Kwanza, William Ruto kuwa Rais mteule wa Kenya akiwashinda Raila Odinga, David Waihiga na Profesa George Wajackoyah
إرسال تعليق