LUKUMAY AWASILI KUSHIRIKI MKUTANO WA IPU
Na Joseph Ngilisho | ARUSHA
MBUNGE wa Arumeru Magharibi, Dkt. Johannes Lembulung Lukumay, amewasili nchini leo, Oktoba 5, 2026, akitokea ughaibuni kushiriki Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).
Mkutano huo unafanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC), jijini Arusha, ukiwakutanisha wabunge kutoka mataifa mbalimbali duniani.
Ends

Post a Comment