LUKUMAY AONGOZA MAFUNZO YA UJENZI WA CHAMA ILKIDING’A
Na Joseph Ngilisho | ARUMERU
MBUNGE wa Arumeru Magharibi, Dkt. Johannes Lembulung Lukumay, ameshiriki kuwezesha mafunzo ya ujenzi wa Chama na maandalizi ya makada yaliyofanyika Kata ya Ilkiding’a, Wilaya ya Arumeru, Oktoba 17, 2026.Mafunzo hayo yanalenga kuimarisha itikadi na misingi ya Chama, kuongeza uwezo wa kiutendaji wa makada, kuimarisha uhai wa Chama na matumizi ya teknolojia, pamoja na kuwajengea uwezo wa kusimamia na kutatua changamoto za wananchi.
Lukumay pia ni Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Wilaya ya Arumeru.
Ends
Post a Comment