Utafiti uliofanywa na chombo cha Habari makini cha NGILISHO TV kwa kuwahoji wanachama wa ccm na baadhi ya wajumbe kutoka wilaya zote sita za mkoa wa Arusha wameeleza kuwa wagombea wafuatao lazima MNEC apatikane.
1.HUSSEIN GONGA
2 NAMELOCK SOKOINE
3 Dkt DANIEL PALANGYO
0 Comments